Registration Form

Wanaoshiriki katika Mbio za Lake Manyara Marathon 2025, Mbio za Barabarani 21.1Km, 10Km na 5Km Mbio za Kujifurahisha (Fun Run) wanatambua kuwa tahadhari zote zimechukuliwa na waandaaji ili kuhakikisha usalama wa washiriki, bado kuna uwezekano wa kuwepo catari za aina nyingine katika mbio hizi na shughuli nyingine zinazohusiana na tukio hili. Washiriki wanatambua hatari hizi na wanashiriki kwa hiari yao wenyewe na endapo lolote litatokea hawatadai chochote kwa waandaaji wa mbio hizi. Washiriki hawatatoa madai ya aina yoyote kwa wahusika kufuatia Habari zinazoweza kutokea kutokana na sabbat za kizembe au kwa kushiriki, kutokana na sababu za Kimungu au kwa kuchelewa kwa tukio, kufutwa kwa tukio, usumbufu wowote, ajali au mmoja wa washiriki kuugua au uharibifu wa mali na gharama zitakazohusika au madhara kwa watoto watakao ongozana na washiriki. Washiriki watathibitishwa kuwa na afya njema na wana uwezo wa kushiriki mbio hizi bila matatizo.

Hairuhusiwi kwa mshiriki {Mkimbiaji} kunywa/kula kitu nnje ya utaratibu wa waandaaji/wasimamizi wakati wa shindano kuendelea na ikitokea hivyo nafasi yako itaondolewa na kunyang’anywa ushindi wako.

Nathibitisha kuwa nimeelewa na nipo tayari kushiriki, kukubaliana na masharti yote yaliyowekwa. Naidhinisha kwa kutumika kwa jina langu, sauti na picha manto na video katika vyombo via Habari promosheni au matangazo kwa namna yoyote ambayo waandaaji na wadhamini watataka. Natoa ruhusa pia kwa waandaaji kutumia vielelezo vyangu kwa mbio nyingine zijazo kwa njia ya mawasiliano kupitia barra pepe, ujumbe mfupi wa Simu au kwa kupiga Simu.